SIZE CHART

HOW TO MEASURE BRA SIZE

Posted on

JINSI YA KUPIMA SIZE YA SIDIRIA UKIWA NYUMBANI/HOW TO MEASURE YOUR BRA SIZE
TUMIA TAPE MEASURE YA KAWAIDA TU UPANDE WA CMS TAFADHALI FWATA MAELEKEZO YA HAPO CHINI .NAKAMAUMEPIMA ILA UMESHINDWA KUSOMA JEDWALI TAFADHALI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255 659162221 OR +255718442203 TUTAKUSAIDIA

 

1.JINSI YA KUPIMA SIZE YA MZUNGUKO/HOW TO MEASURE BAND SIZE

VAA SIDIRIA AMBAYO HUWA INAKUFIT VIZURI SANA ISIO NA SPONJ KUBWA
ZUNGUSHA KIPIMIO UPANDE WA SENTIMITA (TAPE MEASURE) KUZUNGUKA MGONGO WAKO CHINI YA MAZIWA HAKIKISHA FUTI HAIPINDI IKO SAMBAMBA SEHEMU ZOTE
SOMA KIPIMIO (FUTI ) PALE ULIPOPATA KWA SENTIMITA NA ANGALIA KWENYE JEDWALI HAPO JUU UNAANGUKIA WAPI MFANO UMEPATA SENTIMITA 74 BASI MZUNGUKO WAKO UTAKUWANI SIZE 34

put on your best fitting bra
Wrap a measuring tape snugly around your rib cage beneath your bustline AND Adjust the tape so that its parallel to the floor 
Round to the nearest whole number and refer to the size chart above EXAMPLE IF YOU GET 74 CM THEN YOUR BAND SIZE IS 34

2-KUPIMA MAZIWA /HOW TO MEASURE CUP SIZE

CHUKUA KIPIMIO (FUTI) NA UIZUNGUSHE USAWA WA CHUCHU KUTOKEA MGONGONI ,HAKIKISHA HAIJAPINDA ..PIA WAWEZA KUINAMA ILI KUPATA UKUBWA SAHIHI WA ZIWA LAKO 
SOMA FUTI UPANDE WASENTIMITA MFANO UMEPATA CM 95 BASI NENDA KWENYE JEDWALI USAWAWA KIPIMO ULICHOPATAMWANZO ULIPOKUWA UNAPIMA SIDIRIA PALE ULIPOONA SIZE YA MZUNGUKO NI 34 BASI ANGALIA UPANDE WA KIPIMO CHA MAZIWA HIO SENTIMITA 95 IKO WAPI UTAONA IKO USAWA WA ‘D’ HII INAMAANISHA UKUBWA WA MAZIWA YAKO NI ‘D’ HIVYO SIZE YA SIDIRIA YAKO NI 34D

• Bend over so that your chest is parallel to the ground. This is so that you'll be measuring all of your breast tissue — not just what protrudes outward when you're standing up.
• Measure around your torso, so that the tape is over the fullest part of your breasts. Don't pull the tape too tightly — it should be tight enough that it doesn't evenly move, but not so tight that's pressing into your breast tissue. Write down the number.
• Make sure your tape measure is level to the ground. It shouldn't be a few inches down your back, or you'll end up with an uneven measurement. To combat this, try to measure yourself in front of a mirror, or ask your partner or close friend to help IF YOU GET 95 CM THAT MEANS YOUR CUP SIZE IS A ‘D’ CUP BASED ON YOUR BANDSIZE MEASURE ABOVE WHEN YOU WERE MEASURING CUP SIZE FROM TE CHART

VICKYLINGERIE

15210786